Tuesday, March 31, 2009

Tanzania kupeleka jeshi la kulinda amani Darfur mwezi ujao

msuluhishi wa mgogoro darfur DR .Salim Ahmed Salim akiwaaga wanajeshi wa tanzania watakao enda kulinda amani Darfur.. pembenni akiwa na mnadhimu mkuu wa jwtz Adulraman shimbo





msuluhishi wa mgogoro wa Darfur akiagana na kamanada wa kikosi kitakacho enda darfur kulinda usalama luteni kanali Ally katimbe leo

jk na mama salma wameremeta miaka 20 ya ndoa


ilikua full shangwe wakati jk akikata keki iliyo kua imeandaliwa kwajili ya kusherekea miaka 20 ya ndoa ........... undugu.blogspot.com na crew zima inatoa pongezi za dhati kwako mheshimiwa kikwete pamoja na mama salma kikwete

jk Amkaribisha Governor Genaral wa Australia ikulu






Monday, March 30, 2009

Governor General wa Auatralia atua bongo


makamu wa raisi akimlaki gonernor general wa australia Quentin Bryce katika uwanja wa mwalimu julius kambarage nyerere tayari kwa ziara ya siku tatu nchini

mh chenge apandishwa mahakamani mchana huu







mtuhumiwa wa kesi ya kugonga na kua mh chenge apandishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayo mkabili juu ya ajali iliyotokea

Ajali mbaya ya treni yatokea dodoma na kusababisha vifo vya watu kumi 13







jk audhuria mkutano wa sadac uliyo fanyika swaziland

viongozi walioudhuria mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyezi wao mfalme wa swaziland


jk hapa akiongea na raisi wa madagascar aliye ondolewa madarakani mh marc ravalomanana

jk ampongeza anne kilango[mb] kwa kunyakua tuzo

anne kilango malecela akikabidhiwa tunzo ya mwanamke jasiri tanzania na kaimu wa ubalozi wa marekani nchini bw larry Andrie


Sunday, March 29, 2009

kumbukumbu kutoka maktaba


siku ya kumbukumbu baada ya kuapishwa kwa raisi JK akiwa na viongozi walio udhuria inaguration ceremony

Saturday, March 28, 2009

mheshimiwa chenge katika msukosuko wa ajali yake


mh chenge akitoa maelezo kwa kwa naibu mkurugenzi wa upelelezi na makosa ya jinai afande peter kivuyo na kamada wa traffic dar afande mohamed mpinga kuhusu jinsi ajali yake ilivyo tokea







Tuesday, March 24, 2009

jk atua moroni


jk akipokewa na rais Ahamed abdallah sambinwa umoja wa visiwa vya commoros uwanja wa ndege wa hayaya price said international air port jijini moroni leo kuhudhuria sherehe za ukombozi wa visiwa vya anjouan

Thursday, March 19, 2009

makamu wa rais ziarani kigoma

Dr ali shein akiwa anaagalia kilimo cha ndizi mkoani kigoma ameambatana na mkewe mama shein na wajumbee wengine

kamanda kova

kamanada wa kanda maluum bw kova akitoa maelezo juu ya ufankishaji wa operation za ujambazi juu ya maeneo yaliyo kuwa sungu na yenye malalamiko mengi juu ya ujambazi

mallya wa chacha wangwe ala mvua ya miaka mitatu


Tuesday, March 17, 2009

waziri mkuu alivalia njuga swala la kituo cha mabasi cha ubungo


mh waziri mkuu mh pinda amemwagiza mkaguzi na mthibiti mkuu wa serikali (cag) kufanya ukaguzi wa mapato na matumizi ya makusanyo ya stendi ya mabasi ya ubungo na kuwakilisha ripoti yake ndani ya kipindi cha mwezi moja

jk akiwa kwenye mkutano london

jk akiwaribishwa na waziri mkuu wa wingereza mh Gordon brown leo kwenye mkutano
jk akiongea na wandishi wa habari leo baada ya mkutano wa pre G20 london summit katika jumba La lacaster house jijini london leo.wengine toka kushoto ni rais wa african development bank Dr Donald kaberuka,waziri mkuu wa kenya mh Raila odinga,Rais wa liberia mh sirleaf jonson ,waziri mkuu wa ethiopia mh meles zanawi nawaziri wa fedha wa africa kusini mh Trvor manuel

Monday, March 16, 2009



rais kikwete akipokelewa na balozi wa tanzania uingereza mama mwanaidi majaar leo alipo wasili uwanja wandege wa heathrow leo kwa mwaliko wa waziri mkuu wa uingereza mh Gordon browm mkutano kuhusu mtikisiko wa uchumi duniani
jopo la wana pilato wakiwa kwenye picha ya pamoja na rais wa jamuhuri wa mungano wa tanzania mh jakaya mrisho kikwete na spika wa bunge

Thursday, March 12, 2009

hatimaye dakika nne za vurumai la yule kijana za isha huku akipelekwa kituo cha polisi