mzee mwinyi akitoka njee ya ukubi bdo akiwa na tabasamu lake kma kawaida yake
wana usalma wakijitaidi kumtoa njee huyo kijana huku wana nchi wenye hasira wakitaka bdo kumsulubu
kijana aliye mshambulia mzee mwinyi akipata kipigo kikali toka kwa wananchi waliyo chukizwa na kitendo hicho
No comments:
Post a Comment