Thursday, March 12, 2009
Wednesday, March 11, 2009
Tanzania tunaelekea wapi?

madaa ni je tanzania tunaelekea wapi ? ndugu zangu mengi yanaongelewa ,mengi yanatokea je wewe una fikiri tanzania tunaelekea wapi? unayapi ya kutueleza , unanini unataka kusema ulingo ni wako pandekeza sema lolote ila lenye maana ..lenye kuweza kutufundisha na kuanzisha maada nyingine zenye mchakato wa kimaendeleo ,ili tupige hatua mbele na kuweza kufikia lengo karibu kwenye mjadala

Naanza kwa kumkumbuka mwalimu kwa yake yote aliyo yasema na kuyatekeleza mpaka alipo fikia.. juhudi zake zote uwezo uadilifu na hekima ambao ndio unenimpa msukumo wa kufanya jambo, hili mwalimu alianzia ngazi ya chini mpaka kufikia kua kiongozi ,mambo yote hua yana fuwata nyajoo mbali mbali hadi kufikia lengo kamili ..blog hii... kwa undani ni ya jamii ni yenu nyinyi ni ya undugu kama aliosisitizia mwalimu kua sote watanzania ni ndugu wamoja.. lengo kubwa ni kuhabarishana na kuweza kuchangia madaa na mijadala mbali mbali ambayo itatusaidia kuelimishana ,na kusaidia katika maswala yote ya maendeleo kwa ujumla sina mengi bali na sema asanteni sana ,na karibuni javini
Subscribe to:
Posts (Atom)