Tuesday, April 20, 2010

maisha bora kwa kila mtanzania!!!!

Sehemu ya makazi ya watu eneo la Msasani Bonde la Mpunga ambayo yanatuama maji machafu kwa muda mrefu jambo ambalo linaweza kusababisha mlipuko wa magonjwa ya tumbo iwapo juhudi za kuondoa tatizo hilo hazitafanyika.
picha kwa hisani ya father kidevu

1 comment: