Wednesday, March 11, 2009



Naanza kwa kumkumbuka mwalimu kwa yake yote aliyo yasema na kuyatekeleza mpaka alipo fikia.. juhudi zake zote uwezo uadilifu na hekima ambao ndio unenimpa msukumo wa kufanya jambo, hili mwalimu alianzia ngazi ya chini mpaka kufikia kua kiongozi ,mambo yote hua yana fuwata nyajoo mbali mbali hadi kufikia lengo kamili ..blog hii... kwa undani ni ya jamii ni yenu nyinyi ni ya undugu kama aliosisitizia mwalimu kua sote watanzania ni ndugu wamoja.. lengo kubwa ni kuhabarishana na kuweza kuchangia madaa na mijadala mbali mbali ambayo itatusaidia kuelimishana ,na kusaidia katika maswala yote ya maendeleo kwa ujumla sina mengi bali na sema asanteni sana ,na karibuni javini

No comments:

Post a Comment